ABOUT US
BUSINESS VERIFICATION
Castilla Movies and Series ni kampuni halali iliyosajiliwa nchini Tanzania, inayojihusisha na usambazaji wa filamu na tamthilia (movies & series) kwa njia ya mtandao.
Tunaweka kipaumbele kwenye ubora wa maudhui, uaminifu kwa wateja, na huduma salama za kidigitali. Kupitia majukwaa ya kisasa kama WhatsApp Business API na website yetu, tunarahisisha upatikanaji wa movie na series kwa wateja wetu popote walipo.
Huduma zetu zimejengwa juu ya misingi ya:
Lengo letu ni kuwa kituo kinachoaminika cha burudani ya kidigitali, tukitoa uzoefu rahisi, wa haraka, na wa kisasa kwa wapenzi wa filamu.
Castilla Movies and Series
Your Trusted Digital Movie Hub