SHERIA NA MASHARTI

Karibu kwenye Castilla Movies and Series.

Castilla Movies and Series ni jukwaa la mtandaoni linalotoa huduma ya upatikanaji wa filamu na series kwa ajili ya burudani. Tunauza filamu zilizotafsiriwa Kiswahili tu.

Kwa kutumia tovuti au huduma zetu, unakubali masharti yafuatayo:

1. Upatikanaji wa Maudhui

Mteja anayefanya malipo atapewa ufikiaji wa kutazama au kupata filamu au series kupitia mfumo wetu.

2. Matumizi Binafsi

Maudhui yote yanayotolewa kupitia platform hii ni kwa matumizi binafsi ya mtumiaji. Hairuhusiwi kusambaza, kuuza au kushiriki maudhui hayo bila ruhusa.

3. Malipo

Malipo yote hufanyika kupitia mifumo rasmi ya malipo kama vile huduma za mobile money au njia nyingine zilizoidhinishwa.

4. Upatikanaji wa Huduma

Tunajitahidi kuhakikisha huduma zetu zinapatikana muda wote, lakini wakati mwingine huduma inaweza kusimama kwa muda kutokana na matengenezo au changamoto za kiufundi.

5. Mabadiliko ya Masharti

Castilla Movies and Series ina haki ya kubadilisha masharti haya wakati wowote bila taarifa ya awali.

Kwa kuendelea kutumia huduma zetu, unakubali masharti haya.